Скачать презентацию MAJUKUMU YA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA TFDA Скачать презентацию MAJUKUMU YA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA TFDA

e629ed68b935a9c42f4eee12be5c0e5a.ppt

  • Количество слайдов: 22

MAJUKUMU YA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) Wizara ya Afya na Ustawi wa MAJUKUMU YA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Semina Elekezi WAUJ, AICC Arusha 2 - 6 Octoba 2006 Margareth Ndomondo-Sigonda Mkurugenzi Mkuu - TFDA 1 www. tfda. or.

Yaliyomo • • Utangulizi Majukumu ya TFDA Muundo wa TFDA Wadau wa Mamlaka Mafanikio Yaliyomo • • Utangulizi Majukumu ya TFDA Muundo wa TFDA Wadau wa Mamlaka Mafanikio Changamoto Matarajio Hitimisho 2 www. tfda. or.

Utangulizi • Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni taasisi iliyoko chini ya Wizara Utangulizi • Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni taasisi iliyoko chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inayosimamia udhibiti wa ubora na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba • TFDA imepewa madaraka ya kufanya maamuzi mbali ya kiutendaji kwa mujibu wa Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi ya mwaka 2003 na ile ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 • Mamlaka ilianza kutekeleza majukumu yake rasmi tarehe 1 Julai 2003 • Dira ya TFDA ni kuwa taasisi bora katika udhibiti wa ubora na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba kwa nchi za Afrika ifikapo mwaka 2015 • Lengo la Mamlaka ni kulinda afya ya wananchi na jamii yote kwa ujumla kwa kuzuia madhara ambayo yanaweza kujitokeza kutokana na matumizi ya vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba 3 www. tfda. or.

Majukumu ya TFDA • Kutathmini na kusajili vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba • Majukumu ya TFDA • Kutathmini na kusajili vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba • Kufanya ukaguzi na ufuatiliaji wa bidhaa kwa kudbibiti utengenezaji, uingizaji na usambazaji wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba • Kufanya uchunguzi wa kimaabara ili kuhakikisha kuwa bidhaa husika zinafikia viwango vya ubora na usalama • Kusimamia majaribio ya dawa mpya na vifaa tiba (Clinical trials) • Kutoa leseni na vibali mbali vya kuendeshea biashara ya vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba • Kudhibiti utoaji wa matangazo ya biashara ya bidhaa zinazodhibitiwa na TFDA • Kuratibu madhara yatokanayo na utumiaji wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba • Kuelimisha jamii kuhusu ubora, usalama na matumizi sahihi ya vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba 4 www. tfda. or.

Muundo wa TFDA • Ofisi ya Mkurugenzi mkuu – inayo Maafisa wanaoshughulikia masuala ya Muundo wa TFDA • Ofisi ya Mkurugenzi mkuu – inayo Maafisa wanaoshughulikia masuala ya sheria, uhakiki wa mifumo, uratibu wa ofisi za kanda na serikali za mitaa, Mpango wa maduka ya Dawa Muhimu na uhusiano • Kurugenzi ya Uendeshaji Huduma – • husimamia utawala, fedha, elimu kwa umma, na kuhakikisha kwamba shughuli mbali za Mamlaka zinafanyika kwa ufanisi Kurugenzi ya Tathmini na Usajili wa Bidhaa – hutathmini taarifa mbali za chakula, dawa za mitishamba, vipodozi, na vifaa tiba kabla ya kuidhinishwa kwa matumizi 5 www. tfda. or.

Muundo wa TFDA (2) • Kurugenzi ya Ukaguzi na Ufuatiliaji – hufuatilia na kuchunguza Muundo wa TFDA (2) • Kurugenzi ya Ukaguzi na Ufuatiliaji – hufuatilia na kuchunguza usalama wa vyakula, dawa za mitishamba, vipodozi na vifaa tiba. Pia hukagua sehemu zote zinazojihusisha na biashara za bidhaa hizi ili kuhakikisha kama taratibu zinafuatwa • Kurugenzi ya Huduma za Maabara – hupima ubora wa vyakula, dawa za mitishamba, vipodozi na vifaa tiba 6 www. tfda. or.

MINISTER Mo. H &SW MINISTERIAL ADVISORY BOARD PERMANENT SECRETARY Mo. H DIRECTOR GENERAL ADDO MINISTER Mo. H &SW MINISTERIAL ADVISORY BOARD PERMANENT SECRETARY Mo. H DIRECTOR GENERAL ADDO PROGRAMME ZONE & LOCAL GOVERNMENT COORDINATION PUBLIC RELTAIONS DIRECTORATE OF BUSINESS SUPPORT DIRECTORATE OF INSPECTION AND SURVEILLANCE FINANCE QUALITY ASSURANCE LEGAL COUNSEL DIRECTORATE OF PRODUCT EVALUATION & REGISTRATION DIRECTORATE OF LABORATORY SERVICES FOOD REGISTRATION FOOD INSPECTION CHEMISTRY DRUG REGISTRATION ADMINISTRATION AND PERSONNEL DRUG, COSMETICS AND MEDICAL DEVICES INSPECTION MICROBIOLOGY COSMETICS EVALUATION PLANNING REGISTRATION OF PREMISES & LICENSING PUBLIC EDUCATION, MEDICAL DEVICES EVALUATION REREGGREREGISTRATION R PHARMACOGNOSY TECHNICAL SUPPORT MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM PRODUCT RISK ANALYSIS & PROMOTION CONTROL 7 www. tfda. or.

Wadau wa Mamlaka – – – – – Wizara na idara mbali za serikali Wadau wa Mamlaka – – – – – Wizara na idara mbali za serikali k. m TBS, Mkemia Mkuu wa Serikali, TAMISEMI na TPRI Mashirika ya kimataifa k. m WHO, FAO, Codex Alimentarius, UNICEF Mashirika yasiyo ya kiserikali k. m MSH Watengenezaji, waingizaji nchini, wasambazaji na wauzaji wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba Wasimamiaji wa sheria Wafanyakazi wa sekta ya Afya na watafiti Vyombo vya habari Vyama vya wafanyabiashara wa bidhaa zinazodhibitiwa na Mamlaka Watoa huduma mbali Walaji, watumiaji na wananchi wote kwa ujumla 8 www. tfda. or.

Mafanikio • Uanzishwaji wa Mpango wa Maduka ya Dawa Muhimu (ADDO) – Maduka 162 Mafanikio • Uanzishwaji wa Mpango wa Maduka ya Dawa Muhimu (ADDO) – Maduka 162 yamefunguliwa Ruvuma; 44 Wilaya ya Ulanga na 51 Kilombero (Morogoro). Uhamishaji na utambuzi wa Maduka ya Dawa Baridi katika mikoa ya Mtwara na Rukwa umeshafanyika. • Uanzishwaji wa mpango wa kuhakiki ubora wa dawa (QA program) – Maabara ndogo (Minilab kits) 10 za kuchunguza dawa zimewekwa katika vituo vya mipakani na pia Mikoa ya Tanga, Mwanza, Ruvuma, Mtwara, Mara, Kigoma na Dodoma – Aidha simu za upepo (radio calls) zimefungwa katika vituo vya Tunduma, Sirari, Horohoro na Namanga • Mkakati wa kukuza viwango vya utengenezaji wa dawa nchini – Ili viwanda viweze kukidhi masharti ya utengenezajo bora wa dawa – Kuongeza upatikanaji wa dawa ambapo kwa sasa ~30% ya mahitaji ya dawa nchini huchangiwa na viwanda vya ndani – Kuweza kuuza nchi za nje na hivyo kuchangia uchumi wa nchi 9 www. tfda. or.

Mafanikio (2) • Mkataba wa Huduma kwa Wateja (Client Service charter) – – • Mafanikio (2) • Mkataba wa Huduma kwa Wateja (Client Service charter) – – • Umetayarishwa na kuzinduliwa rasmi Januari 27, 2006 Mkataba huu unaainisha viwango vya utoaji huduma kwa wateja k. m kutoa majibu ya uchunguzi wa maabara katika kipindi cha siku 14, kutoa vibali vya kuingiza bidhaa katika kipindi cha saa 48, kushughulikia maombi ya leseni na usajili wa majengo katika kipindi cha siku 45 Mkakati wa kukuza viwango vya utengenezaji wa viwanda vya kusindika vyakula – – Tathmini (baseline survey) ya viwanda vya kusindika vyakula nchini ikiwa ni pamoja na wasindikaji wadogo imefanyika Lengo hasa ni kuendeleza sekta hii kwa kushirikiana na wadau mbali 10 www. tfda. or.

Tathmini ya viwanda vya kusindika vyakula nchini 11 www. tfda. or. Tathmini ya viwanda vya kusindika vyakula nchini 11 www. tfda. or.

Mafanikio (3) • Uelimishaji wa wadau – Semina za uelimishaji wa wadau kuhusu majukumu Mafanikio (3) • Uelimishaji wa wadau – Semina za uelimishaji wa wadau kuhusu majukumu ya TFDA zimefanyika nchi nzima ambapo jumla ya wadau 2500 wameshiriki – Vipindi mbali vya uelimishaji kwa njia ya radio, televisheni na magazeti vimekuwa vikitolewa – Vipeperushi mbali na mabango (brochures, fliers & banners) vimechapishwa na kugawanywa kwa wadau kupitia mikutano, semina na maonesho (exhibitions) – Mawasiliano yameimarishwa kati ya TFDA, wadau wake na jamii kwa ujumla kwa kuanzisha Tovuti ya Mamlaka ya Chakula na Dawa yaani www. tfda. or. tz 12 www. tfda. or.

Mafanikio (4) • Ukaguzi – Udhibiti wa ubora na usalama wa bidhaa umeimarishwa kufanya Mafanikio (4) • Ukaguzi – Udhibiti wa ubora na usalama wa bidhaa umeimarishwa kufanya ukaguzi wa mara katika; • Viwanda vya kutengeneza dawa (ndani na nje) na vya kusindika vyakula • Majengo ya biashara (maduka ya dawa, hoteli, supermarkets) • Maduka ya Dawa Baridi k. m kati ya Mei na Agosti, 2006 maduka ya dawa baridi 1, 027 yalikaguliwa – Dawa moto za thamani ya shilingi milioni 250 zilikamatwa – Maduka 275 ya vipodozi yalikaguliwa na vipodozi vyenye viambato vyenye sumu vya thamani ya shilingi milioni 27 vilikamatwa – Jumla ya wakuguzi 707 wameshateuliwa kwa mujibu wa Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi (Makao Makuu, TAMISEMI, Vituo vya Forodha) na wakuguzi 419 wameshapewa mafunzo – Wakaguzi wametawanywa kwenye vituo vya Forodha vya Namanga, Sirari, Tunduma, Kasumulu, Isaka, Horohoro, KIA, DIA, Tarakea, Holili, Bandari Mwanza, Bandari Tanga na Bandari DSM 13 www. tfda. or.

Ukaguzi wa viwanda vya dawa (GMP) nje ya nchi (2003 -2006) Mwaka Idadi iliyokaguliwa Ukaguzi wa viwanda vya dawa (GMP) nje ya nchi (2003 -2006) Mwaka Idadi iliyokaguliwa Idadi iliyofikia Idadi c. GMP isiyofikia c. GMP % isiyofikia c. GMP 2003/04 35 26 9 25. 71 2004/05 54 33 21 38. 89 2005/06 45 30 15 33. 33 14 www. tfda. or.

Ukaguzi wa viwanda vya dawa 2005/06 15 www. tfda. or. Ukaguzi wa viwanda vya dawa 2005/06 15 www. tfda. or.

Sampuli za dawa zilizochukuliwa wakati wa ukaguzi (PMS) [2003 – June 2006] Mwaka Idadi Sampuli za dawa zilizochukuliwa wakati wa ukaguzi (PMS) [2003 – June 2006] Mwaka Idadi Iliyochukuliwa katika soko Idadi Iliyochunguzwa Idadi Ilifaulu Idadi Iliyofeli % Iliyofeli 2003 127 125 113 9 7. 2 2004 183 167 142 25 14. 97 2005/06 785 676 (517 (screening + 157 full analysis) 643 33 4. 9 16 www. tfda. or.

Mafanikio (5) • Uanzishaji wa Mifumo Bora ya Utendaji kazi (Quality Management) – Maabara Mafanikio (5) • Uanzishaji wa Mifumo Bora ya Utendaji kazi (Quality Management) – Maabara iko katika hatua nzuri ya utekelezaji wa mfumo wa ISO 71025 (Laboratory accreditation based on ISO 17025 standard) – Mamlaka kwa ujumla wake imeanza kutayarisha na kutekeleza mfumo wa ISO 9001: 2000 (Quality Management System based on ISO 9001: 2000 standard) – Lengo la TFDA ni kufikia viwango hivyo vya ubora wa utendaji kazi ifikapo Juni 2008 17 www. tfda. or.

Mafanikio (6) • Usajili wa bidhaa na uchunguzi wa kimaabara – Usajili • Jumla Mafanikio (6) • Usajili wa bidhaa na uchunguzi wa kimaabara – Usajili • Jumla ya dawa 4087 (3685 za binadamu, 396 za mifungo na 6 za mitishamba) zimesajiliwa kati ya mwaka 1999 na Juni 2006 • Jumla ya vyakula vilivyofungashwa 3832 vimetambuliwa (notified) na 213 vimesajiliwa (155 vya ndani, 34 vya nje ya nchi na 24 ni vyakula dawa) – Uchunguzi • Mwaka 2001 wakati mpango wa QA unaanza sampuli zilizofeli zilikuwa 13% • Mwaka 2004/05 sampuli zilizofeli ni 3. 7% (n= 1257) • Mwaka 2005/06 zilikuwa 3% (n=1341) kwa sampuli zote za dawa zilizochunguzwa 18 www. tfda. or.

Changamoto • • Mabadiliko ya haraka ya teknologia, utandawazi na soko huria unaosababisha ongezeko Changamoto • • Mabadiliko ya haraka ya teknologia, utandawazi na soko huria unaosababisha ongezeko la bidhaa katika soko hivyo kuongeza ugumu wa udhibiti Uhaba wa raslimali ikiwa ni pamoja na fedha Uwezo wa kuajiri watumishi wenye sifa na kuwapa motisha Kusogeza huduma karibu na wanachi kwa kuanzisha na kuendesha ofisi za Kanda Kuweza kufikia viwango vya kimataifa vya ubora wa utendaji kazi yaani ISO 17025 (Maabara) na ISO 9001: 2000 (Mamlaka) ifikapo mwaka 2008 Kuwepo kwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu na wadau wasiofuata masharti ya sheria kwa hiari Ongezeko la magonjwa mapya yasiyotibika 19 www. tfda. or.

Matarajio • • • Kuwepo chakula, dawa, vipodozi, vifaa tiba vyenye ubora na usalama Matarajio • • • Kuwepo chakula, dawa, vipodozi, vifaa tiba vyenye ubora na usalama unaokubalika katika soko la Tanzania Wananchi kuwa na elimu na taarifa mbali kuhusu chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba Kuanzisha ofisi za Kanda kwa lengo la kupeleka huduma karibu na wananchi Kueneza Mpango wa Maduka ya Dawa Muhimu (ADDO) nchi nzima ifikapo mwaka 2012 Viwanda vya dawa na chakula vya hapa nchini kufikia viwango vya utengenezaji bora kwa kuwapa mafunzo ya GMP na HACCP wazalishaji Kufikia viwango vya ubora vya utendaji kazi vya kimataifa kwa maabara (ISO 17025) na TFDA kwa ujumla (ISO 9001: 2000) 20 www. tfda. or.

Hitimisho • Ili kuweza kutekeleza kazi na majukumu yake kwa ufanisi, TFDA inahitaji ushirikiano Hitimisho • Ili kuweza kutekeleza kazi na majukumu yake kwa ufanisi, TFDA inahitaji ushirikiano kutoka kwa wadau wake; – Sekta ya Afya kwa ujumla wake – TAMISEMI – Wizara ya Mifugo – Shirika la Viwango 21 www. tfda. or.

Ahsanteni Sana 22 www. tfda. or. Ahsanteni Sana 22 www. tfda. or.